
DETERMINE SELLING PRICE. A slight blunder unaeza jipata una sale at a loss ama pia una exploit clients design wanaanza kukuhepa wakidai uko expe. So wewe u determine selling price ukitumia vigezo gani?
Kuna zile common method niko na idea on, please changia na more kwa comment section ndio tujifunze from one another.
- Kutumia Price List ya recommendations from wholesaler/Manufacturer
- Ku calculate profit margins from other essentials then apply the same formula kwa the new product.
- Ku spy around uone vile other retailers wana sale around
- Kama ni services angalia time consumed na creativity yake then balance the two but kuwa mliniage time ya ku negotiate, juu in most cases services ukuwa like 100% profit especially kama haujatumia any materials.
Usisahau ku offer ka discounts especially kwa deadstocks zenye ziko na expiration yenye iko karibu hii niku avoid losses.
#SisiNiMesh

0
0
0