
Did you know 🤔🤔🤔kama uko na shida ya Gas mob kwa tumbo after kudish cereals like beans,ndengu ama hata njahe 😊😊carrots ni an #antiacid moja great sana,,,chemsha hizo cereals na carrots 🥕🥕 ndani yake then when they have boiled to your desire toa carrots then pika to your taste😋😋😋 #problem solved

0
0
0