
"Did You Know This About Sockets?"
Ever noticed those tiny holes on the metal pins of your plug?unadhani ni design tu? Hapana! Hizo mashimo ziko hapo kushikilia plug poa kwa socket, ndio isi-slip ama kupoteza connection. Na hii ni science ya juu tu! Pia, ever notice ukiacha socket ON na hakuna kitu umeplug bado ina kula ka-power kiasi? Hapo ndio wanakwambia, 'zima kama hutumii!' Unasave energy na unaepuka short circuit za ovyo ovyo. Kama hujawahi jua hizi maneno, usijali leo umekuwa mjuaji wa sockets!


0
0
0