DO vs DON’T – Kama Wewe Ni Creative:
DO: Andika agreement hata kama client ni boy wako ama msee wa mtaa.
DON’T: Usitume final files bila kulipwa balance. Hii si charity