
Doh Iko Wapi Kwa Poultry?
✅ Unataka pesa ya haraka? Broilers ni ideal. ✅ Unataka passive income ya daily? Layers ndio game. ✅ Unataka premium market? Improved kienyeji ama kienyeji wa kawaida. ✅ Unataka biashara isiyo na stress ya kuku wakubwa? Incubation ama kuuza chicks.
Unataka kuanza wapi? Ama unafanya gani saa hii?

0
0
0