
Doll shoes business is a good idea, but since 15k si ideal kupata shop. Ni poa utengeze meza kubwa ya wire mesh na kitu 3k then find the location yenye haulipii.
Before uchukue stock, ni poa you visit different places kama Eastleigh ama Kamakunji at least 3 times asking whole sale prices
Kitu ingine, do your study in what we call Market Segmentation na ujue best place mahali madame ni wengi since customers wako ni madame. You can consider places where there's a university.
Chukua stock na uanze bizz na ujaribu kutokula pesa ya stock and at least minimize your expenses to grow
0
0
0