Dontire/Akala za tyre zimerudi back in style. Nimebonga na mtu anaziuza kwa ground anasema zinaenda kuenda saa hii.
Price ni from KES 350 for plain design, kama imesukwa kiasi hadi KES 900.
Hii ni biz idea fiti na inaweza shika coz pia youths wanazipenda.
Uko na Dontire kwa colletction yako?
0
0
0