Drivers mkiwa Kwa gari then you notice maji imefurika mob Kwa barabara just park kando and wait coz youll never know mbele kuko aje. Don't drive Kwa maji ya mafuriko. #SafetyFirst