
Due to hizi fuel hikes sikuizi ni beya the following; 1.avoid unnecessary travels 2.place unaweza tembea usilazimishe kutumia gari 3.kama mzigo ni heavy unaweza tumia msee wa mkoko 4.wasee wa biz inaitaji mafuta throughout unaweza increase bei kiasi but also consider msee wa kawaida
0
0
0