
Due to this covid 19 ,Mimi Kama mfanyi biashara nimejifunza Mambo mengi kuihusu savings ,nikipata loan sahii Ni ku invest Zaidi kes buzne yangu na pia Niko na mradi wa kutengeneza chapoo mandondo ,alafu hii design ya shaving nimefika kipaombele Niko na cager nataka Ni nifungue kinyozi.one day nikiwa Ni me kaa nje napumzika kwa biashara yangu nikajionea madame watano walikuja manywele smart I can't imagine wakifungua kinyozi na wakazinyoa so kulingana na Hussle ya ngu saloon nilikasirika nilikuuliza wakinyoa wote Mimi nitakulia wapi, ? That's why I want to open kinyozi sitaki kutengeneza Hussle moja,so far najua hapa kila kitu kitakua vile natarajia loan boosted repaid in time to avoid additional charges,
0
0
0