During COVID nilikuwa napita kwa soko nikapata madam anauza ovacado 3 mbao yenye iki ripe Moja ni 20 considering where I lived I bought them My first neighbor ako like mbona nichukue ovacado zako I was like hizi ovacado mingi hazina mbegu zenye ziko nazo ni minimum sana na ndogo sana adi utashuku kama ni mbegu she was like damn and am like ziko na nutrients zina elevate skin care huwezi amini matokeo I come to think she was my lucky charm cause my target I was to make 700 but I made 1200 on my first stock of ovacados na hivo I turned to be ericoh wa ovacado
0
0
0