
During festive season many of us will travel.Some makangas wako na tabia ya kujivuta na kurudisha change ndio usahau and some hupandisha hata fare sanasana ukiwapea pesa mzito.
Una prefer kulipa your fare with which means? As long as ushajua fare n ngapi. 1.cash. 2. Using phone.

0
0
0