Ebu niulize, kama hii option ya "kurudi back" haijatengenezwa na "Challenge" wanapost Leo, mta comment aje😌. Ama Kuna group wanapost hapo? Ama mnaenda nayo nayo? Hope kusiwe na confusion hapa. 😲