
Education system ya sahi ya courses ni worth hata kama digitization imekuwa the norm. Wenye wote wanajoin na wenye wanaendelea kupambana na life ya uni na college, jua that course unafanya si useless, vile utaitumia ndiyo itadetermine worthiness yake. So tumia opportunity ya social media kama youtube ama tiktok kushare life experience yako na course unafanya. By the time unamaliza unaweza anza kulipwa na you never know, kuna mtu utakuwa unasaidia😉. Usikubali peers wa kudiscourage na course unafanya, hakuna kitu hii dunia ni useless!!💓
0
0
0