
#EdwineOlare ako na swali hapa. Tumjenge jameni!
Hello MESH members. Niko na shida moja inayotuhusu sisi ma-youth. Sasa unafungua Biz (Mini-shop) then unatafuta mtu akufanyie job kiasi ukimuuliza anadai salo ngapi anasema 20K per month.
Really! Ni ungwana kweli?
Tuchapiane hapa kwa comments.
0
0
0