
"Eeh wasee, mmeskia story ya trade war kati ya U.S.A na China? China wanasema zile sneakers mnanunua za 20k plus, kwao ni $10 tu. Haha! Wanasema usijifanye msee unanunua label sticker ya 20k. Mazee, tumerudi mtaa tena! Kesho natoka na Adibas bila hata stress. Comrades, mnaona hii kitu ita-affect life yetu aje?"

0
0
0