
Effects za AI kwa online writing 🤔
💡Wasee most kwa hii field ya online writing wanacomplain vile jobs zimepungua uko juu ya AI, saa hii AI inafanya kila kitu so wewe kama human writer demand inapungua juu AI ni more efficient, si wasee wa account si wasee wa direct clearly kila msee anaumia saa hii ,💔
🤔Mesher mko kwa hii field mnaeza tuchanua kwa comment section mnasurvive ajii ....na ukona plans gani za kustay in business in the future, because looks like AI is here to say ......
0
0
0