Effects za #COVID19 pandemic manze zime-hit almost every home in Kenya. Watu wamepoteza jobs na pia #Bizna mob zimefunga. Tuchapiane hapa vile kila msee amekua affected.