
Eh comrades,nimefika ushago nimepata my classmate Ndie owner wa wholesale hapa Kwa market yetu na ashajenga alafu mimi kitu niko nayo Nairobi ni households Tu na nimekam na kuchocha na gari ya car hire. naskia niko haunted by 26th mapema 5AM nahepa nirundi Kanairo bana 🤣🤣 .Meshers mmefika shagz na developments gani umepata your peers wamekuzindi? #Merrychristmass #Newyear
0
0
0