
Eid Mubarak to you all Meshers wa power πͺπ―πͺ
Its another fine Wednesday πͺπ―π― na kama kawaida yake form ni keep it Brian's Health corner ππππππ leo nadai tuichape kitofauti kiasi,,,,did you know that unaweza blend ngozi ya pineapple ππ,, Ginger,, tumeric na asali π―π― na pia unaweza add a glass of milk π₯π₯then hii story ya common cold βοΈπ₯Ά yenye imevamia wasee wengi hii mitaa,,,
Swali langu ni π€π€unajua methods gani tena za kutibu homa hii mitaa kama kawaida #form ni kujengana π―π―

0
0
0