
Elections zimekam na zimeisha🙏🙏sasa ni sisi kama mayouth kurudi hustle zetu na kuendelea kujituma💯💯💯
but leo niko na swali kwa wasee wanachapa hii hustle ya #Agribiz,, like huyu dem alinishow alianza na 10k🤔🤔🤔 what if niko na 500 bob na piece of land kiasi is it possible 🙆🏽♂️🙆🏽♂️
#tuchapiane👇👇

0
0
0