⚡Electricity prices zita-go up by KSh 4.80 per unit this month after EPRA’s latest review.
Hii inamaanisha kama mtaani unatumia tokens ama postpay, uta-spend a bit extra on bills za November.