
Eliud Kipchoge alimake 160,000USD for just appearing kwa London marathon. And yet akamaliza 6th kwa hiyo race,
Kwa sisi comrades when was the last time ulimake 20million ksh for one days work?
Mimi hiyo nilimake pale kwa phone nikicheza "Temple run" na Subway😅😅😅😅
Eiih aki pesa wewe.
Ebu nichapieni hapa kwa coment section. Umewahi make hiyo doo yote per day ????

0
0
0