
❤️ Empathy ukuwa Vital sana kwa biz♥️🔥
💡Clients wengi ukuwa loyal customers because of how you made them feel, us humans tunakuwanga social creatures na kama unaeza tumia social skills zako fitie kama msee wa biz unaeza leverage iyo kutegeneza brand ya biz yako na kumake wasee wafeel welcomed and loved 💯
💡Wasee husahau vitu mingi but not how you made them feel♥️, so kama msee wa biz ni strategy poa ku_incorporate empathy kwa operations zako ♥️
💡Acha kila clients a_feel welcomed and loved 😍, it good for your business, good for your culture, good for your society and definitely good for the world ♥️🙏 Good morning meshers ♥️🔥

0
0
0