
Empowering the youth through Mesh ndio our main focus. Already I have been doing that since Mesh ikue launched. Mesh ni place poa sana ya kuget great business ideas za kuanza biz. Pia hapa mesh utaget ujanja mob sana za venye unaeza expand your hustle. Hapa kuja pros wa almost every hustles, huezi kosa interests zako, kama wewe ni artist kama mimi unaeza angukia gigs kadhaa. So utapatana na your category and Ideas nazo watakujenga sio ati nini. Pia kuna many connections zenye utaget, kama unasaka job pia. #Tujijenge #SisiNiMesh
0
0
0