
End month hukua fiti pia hukua tricky
Fiti coz watu hukua na doh so kwa biz yako unaeza uza poa
Tricky coz hio ndio time unafaa kulipa bills so pesa mob huitajika.
For that reason jifunze to save, invest more and avoid over-expenditure. Happy New Month my fellow MESHers
0
0
0