
Engineering and technology🇰🇪
Last two days kumekuwa na safaricom annual engineering summit, hii event u_ showcase the future of safaricom engineering and the Kenyan tech industry landscape 💪
💡Hii event ukuwa na networking opportunities kadhaa , as it brings together experts from different industries, gov't officials na pia students to showcase their innovative ideas,
💡Alafu wewe kama msee wa biz inaeza kusaindia kwa planning juu utapata information kuhusu technologies mpya unaeza tumia kwa biz ku_improve efficiency ya vile unaoffer services kwa clients wako 💯
💡 kama wewe ni investor pia unaeza leverage iyo info kuinvest kwa industry ziko promising on the Kenyan market 💪
💡 lastly you get to keep up with the current trends on both local and global technological advances 🔥
Here is YouTube link ya iyo event, check it out and share your views na meshers hapo kwa comment section:
https://www.youtube.com/liv...
