
Episode 16 ya #ShujaazSTRA ishatoklezea wadau,, Chebby anapatana na boyz anaitwa Wanjohi, na anampeleka out. Cheki kama atakuwa Mr right wake.
We huwa unaangalia nini kwa a potential partner?,, Link ndio hii let's watch this amazing episode,,, https://youtu.be/YFyKpThyyJw
0
0
0