
Episode 17 ya #ShujaazSTRA ishatokea, Chebby anapatia crush wake Wanjohi a second chance. But Wanjohi hajaji-pin na CD. Luckily Chebby ako na CD zake but Wanjohi anajiita raw abiding citizen.
Ukajipata kwa situation kama hii ya Chebby mechi ita-go down ama uta-postpone?
#ShujaazStra Link ndo hiyo apo 👇 https://youtu.be/YJ4bnetYtS...

0
0
0