
EPL UPDATES....
Kesho at Exactly 5pm kutakuwa na game moja baby kubwa kati ya the free falling Manchester City and the Tittle pretenders Chelsea pale Etihad stadium. Ni game kubwa given that first leg iliisha One Nil in favour of CIty So kesho ni anyone mgani atapita given that wote form yao sai iko chini?????? Leteni predictions...


0
0
0