
EPRA wamefanya ile kitu.
- Super imepanda na 16.96 bob to Ksh 211.64 per litre.
- Diesel imepanda na 21.32 bob to Ksh 200.9 per litre.
- Kerosene imepanda na 33.13 bob to Ksh 202.61 per litre.
Ni strategies/changes kama gani zinaweza help mtu kujipanga coz bei ya fuel imepanda ndio hustle/shugli za daily ziendelee kama kawaida atleast?

0
0
0