
Eric. Mtaa yangu ni saika. Niko na hustle mbili main ( mambo ya stima na tailoring/ branding. Kitu unipendeza kwa hustle yangu ni kuona vijana wakichangamkia kazi yangu kisha baadae wanapata 'per day" yao Pia kuna wengine hutafta hustle/tenders na jina ya kampuni yangu. @mericsBright. It inspires me alot. Pia mentoring youths thro' footboll
0
0
0