
Essential Tips for Poultry Farmers in 2025
1️⃣ Achana na Liquid Paraffin na Madawa Ovyo - Chicks hawahitaji paraffin au antibiotics bila vet kufika ground.
2️⃣ Diagnosis za Online -Work na vet physically, sio kununua dawa ovyo bila proper check-up.
3️⃣ Kuwa macho na risto ya usafi - Usafi, hewa safi, chakula bora, na chanjo kwa wakati zinapunguza magonjwa 80%.
4️⃣ Vet si adui but ni Mshikaji: Panga vet visits mara moja kwa mwezi kusaidia kugundua issues mapema.
5️⃣ Fanya Poultry Kama Biashara - Research, involve experts, na plan kama long-term investment.
Happy New Year na mafanikio kwa projects zako!

0
0
0