Eti so far KRA itakua inatax doh yoyote ikiingia kwa bank yako unless you prove the source ya hio doh. Failure to that they will assume hio ni income. Meaning ata ukiweka doh ya chamaa kwa bank itakua taxed buana, wwwuuueeeh