
Eunice Daniel aligrow biz yake huko mtaani by growing sales team yake.
So, ukitaka ku grow team yako ndo employees wakue happy, na biz i-grow, hizi tips tano Eunice ana recommend, zita kuwa useful kiasi:
1️⃣ Support watu wako. Wapatie support kwa biz, na hata kwa personal life zao ukieza. Wa motivate ku improve ki-biz na masaa zingine, like all of us, wanaeza kua na challenges za doh. Wa dunge kitu ukieza.
2️⃣ Pigisha watu wako mazoezi. Yaani, wapatie training ndo waki fika kwa ground, wakue watu wana shinda. Training wakiget, watacheza kama wao, juu ita wapatia knowledge ya ku toboa tasks zao na ku improve biz. Pia, ukichora wasee wako na experience, wata ingia na kuchapa works wakiendanga, na wata kuhelp kutrain wale bado wako mbichi.
3️⃣ Wa patie wasee wako freedom. Ukisha wa pigisha zoezi ya kutosha, hiyo team inafaa wa release-iwe wafanye job ki design yao. Wacha wa-make decisions zao ndo wa own process na results zao wenyewe. Hizo ma process ni vitu kama ku nego na ma-customers, etc.
4️⃣ Wa trust hao watu wako. Make sure una jua mahali uta waget kikiumana. Alafu usi wa sumbue-sumbue kila saa. Wawache wachape works na u- make sure wanajua pahali pa ku-kuget waki ku need. Remember, hii street ya trust huanga ni two-way.
5️⃣ Fanya wasee wako wakue accountable. Wapatie targets, na waki mek hizo targets, warushie ka kitu generous. Hivo, kila mtu ata fanya juu chini ndo wa achieve targets. Na waki achieve targets, ndio biz ina grow.
Unadai ku-earn Business management badge mara hiyo hiyo?!🤔Ni simple, watch hizi 4 short 2-minute videos👇
https://mesh.life/app/bizvi... https://mesh.life/app/bizvi... https://mesh.life/app/bizvi... https://mesh.life/app/bizvi...
