
Ever heard of the new farming practice—Street Garden?
Kanairo, wasee wameanza kugeuza streets, alleys, na hata unused spaces kuwa mini-farms. Wau utumia containers, gunia, makopo, na hata old car tires kupanda mboga kama sukuma, spinach, coriander, na hata strawberries!
🔹 Inafanywaje?
Unachukua space ndogo—hata balcony, pavement, ama kando ya barabara.
Unatumia gunia ama vertical planters ili ku-maximize space.
Unatumia maji ya kunyunyizia polepole kama drip irrigation ili kupunguza waste.
🔹 Mbona Street Garden Farming? ✅ Inaokoa space—hata plot dogo inaweza work. ✅ Fresh food karibu na home—hakuna preservative. ✅ Ni sustainable—unarecycle vitu kama tires na gunia.
Je, umewahi ona ama kufikiria kujaribu Street Garden Farming?
