Ever since Facebook, Instagram na WhatsApp ilibreak down, nimekua ready for anything. Kama mse wa digital marketing, lazima ujue vile uta recover, ume-learn nini so far this week?