
Ever thought about kuanza biz ya pool table?
Yes ni biz iko na doh ajab. My sources tell me in a good day unaeza okota about 3-5K per table. This depends na location ya biz penye iko.
A new table unaeza buy na around 75K-200K depending na quality na company yake. Once umebuy you need a hall ya kuweka hizi tables na kijana wa kuchunga kazi daily na akue na coins za 20bob in advance always.
Hii haitaki maintenance that often bora umelipa kanjo you are good to go. I thought, you should know.


0
0
0