
Ever thought of maize milling business? Najua wengi tumetumwa kwa kisiagi tukiwa watoi....lakini hatukuwahi fikiria vile ni biz profitable. Maize ni staple food definitely kuna wale wa kusiaga unga ya uji, ugali na ata kuswift mahidi ikuwe "muthokoi"
Incase unafikiria kufungua hii biz check out this post for poshomill prices !
https://meshlife.page.link/...
0
0
0