Ever Thought Of Tuktuk Biz?
Tuktuk biz imekuwa powerful especially in towns and fast growing estates. Inaserve watu hawataki kulipa taxi full, lakini wanataka something more comfortable than mat or boda.
1. Where tuktuk makes sense
- Towns with short but frequent trips
- Estates mbali kidogo na stage
- Areas na many small deliveries: gas, water, groceries, parcels
2. Ways kuingia kwa biz
- Kununua tuktuk cash or through asset finance
- Leasing or hiring from owner and you operate as driver
- Ku give driver as “owner” and mnapatana daily or weekly target
3. Costs na ground reality
Unadeal na
- Fuel, service and repairs
- Insurance and licences
- Daily target kama umechukua kwa loan or umepatia driver target
Profit inategemea route, time ya kazi, na vile una manage maintenance.
4. How to make it more profitable
- Combine passengers na deliveries during the day
- Kujijenga kwa area moja so customers wakuitishe direct
- Kuweka tuktuk safi, muziki kiasi and professional driving so watu wakukumbuke
Meshers, kama ungeingia tuktuk game, ungependa zaidi ku drive wewe mwenyewe ama kuweka driver akukatie target ya kila siku? 👇
0
0
0