Every artist was first an amateur.’ – Ralph Waldo Emerson. So, kama unaanza tu, usiwe na stress. Mastery inakujanga na time, kila sketch, edit, ama shoot ni step closer to mastery.
Happy New Week!