
Every desire ya kila youth ni kukuwa na pahali anaeza pata mapato yake ya kila siku... So hiyo ilikuwa pia desire yangu na mabeste wangu wawili. Because tulikuwa na business idea minus capital.. Tuliamua ku save for close to 7 months tukaanzisha kuku shop uku mtaani, tulienda tukabonga na distributor wa kenchic mwenye ako mtaani so alikuwa akitupea bidhaa na sisi tumlipe baadaye after kuuza till tukakuwa stable though Covid-19 ilitutingisha kidogo but bado twajikakamua..
My fellow youths Invest in your dreams. Grind now. Shine later.

0
0
0