Every hustle counts Hello meshers Nilikam na idea juu niko na skill za kutengeneza heat saving jikos nianje kutengeneza Leo nimemake jiko 14 saa hii niko na jiko 9 That step you make determines tommorow. Never give up