
“Every master was once a disaster.” – David T.S Wood. This goes to all entrepreneurs who have undergone tough times na biashara kukua stagnant/loss since the year started, so many hardships have occurred, and zimefanya wasee wafeel ni kama wamefika mwisho, financially, mentally and physically. All i can say is we pray na msichoke ukiona unafika mwisho imagine kuna msee alikua ameandikwa kunyoa watu nywele instead ya kunyoa vizuri ananyoa makombo na alikua proud cause alikua anajitambua akidhani anafanya kazi fiti till the day akazoea na akua pro cause life is a journey which has many lessons that build memories and capabilities. HAPPY NEW MONTH MESHers
0
0
0