š Everyone wants to scale.
Lakini almost nobody anataka kuslow down kwanza.
Ni kama kumwambia coach,
"Coach, nataka kukimbia faster."
Coach anakuangalia akisema,
"Kwanza drop hiyo 50kg umebeba." š
Biashara nyingi zinataka more customers, more sales, hata kufungua branch...
Lakini bado:
ā Cash flow haieleweki.
ā Books haziko sawa.
ā Kila decision ni owner.
ā KRA, bank na records hazipatani. š
Badala ya kuuliza,
"Nitagrow aje faster?"
Uliza:
"Nini inanislow down?"
Ju scaling haifichi fujo.
Inaimagnify. š
Ni weight gani biashara yako inabeba saa hii? š
0
0
0