
"...ewe ndugu yangu we Amka kumekucha.. Kamata jembe na panga... Uende shamba.. Uvivu ni adui mkubwa, Kwa ujenzi wa taifa... Kwani hiki ndicho kiini haswa kisababishacho njaa...."π΅πΆπΆπ
Good morning fellow MESHers, it's a new week, let's embrace it with positive vibes na itajipa Kwa hustles zenu, all the best wadau, keep it MESH.
0
0
0