
Ex UK accessories.
Hizi products za Ex-Uk huwa mostly second hand or used accessories, mostly electronics, zenye zimekua previously used huko majuu, united kingdom, and are now resold in Kenya.
This product zina originate from UK hence the name Ex-UK.
Hizi most of them sio lazima zikue ina good condition most of them hukua na small faults an msee anabuy at a cheaper price inakuja anafix inakua refurbished then aniuza ata a cheaper price pia.
But remember wasee wana prefer hizi accessories za kutoka UK coz wana believe ni original. But in the end sio UK pekee ndo wanatengeneza original products. Hii ndo hukua language ya most bi
0
0
0