
Experts wa TL, si mtu ajitolee leo aniexplainie like a class 2 kid the difference ya 60fps and 30fps??🤕 Alafu hii kwa bitrate pia if you shed some light nitashukuru sana my guys. Am trying to export hii clip I have been editing and hizi settings hunikula kichwa walai.

0
0
0