
Ezekiel Mutua ashatwambua sisi Kenyan Youths kuwa "The statement "I am from a poor background" ends at 30. There after, you're the background!!"
So leo una changia background yako mtaa gani na biz gani? Kama uko na opportunity or need extra hand ama partner join the conversation kwa comment section.
Mkuwe na wiki fiti.
0
0
0