
FA CUP COMPETITION.
spurs wanacheza na Man City kwa FA cup Leo kwa grao ya mpya ya Tottenham Hotspur ground. So kitu funny ni, atI Pep Guardiola hujawai shinda kwa hiyo grao ya Totee mpya.
UNAFIKIRIA LEO WATAWEZA kweli ama swara itaendelea.....
#FOOTBALL #FOOTBALL

0
0
0